EQWIP HUBs ni mtandao wa kimataifa unaotoa nafasi ya ugunduzi kwa kuunganisha na kubadilisha mwelekeo wa kiuchumi wa vijana kupitia ujuzi wa kazi unaoendeshwa na soko, viatamizi vya ujasiriamali, mipango inayotekelezeka ya kijinsia, ushauri, mitandao, na misaada-mbegu kwa wajasiriamali wapya.
Kumekuwa na nyakati nyingi za kusisimua katika EQWIP HUB, haya ni baadhi ya matukio ambayo tungependa kushirikishana nawe.
Je, wewe kijana wa eneo hili unayetafuta njia ya kuwa mshiriki? Kujua matukio yajayo, warsha, na vikao vya mafunzo yanayotokea katika EQWIP HUB.
Julius is passionate about leadership and believes that there are no born failures
KUTANA NA TIMU KAMILIEQWIP HUBs imekirimiwa ufadhili, kwa sehemu, na Serikali ya Canada kupitia Global Affairs Canada.